Luke 11:24

Kurudi Kwa Pepo Mchafu

(Mathayo 12:43-45)

24 a “Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati. Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’
Copyright information for SwhNEN